Vituko/ Comedy

Mchekeshaji Mkenya akizungumzia tofauti ya Minyoo ya Rais na watu wa hali ya chini

on

Screen Shot 2014-04-11 at 1.45.07 AMShow ya TV ya Churchill imekua ikitufanya tuone vipaji mbalimbali vya Wachekeshaji mbalimbali wa Kenya ambapo kwenye post hii anahusika Eddie Butita ambae anaifafanua minyoo kwenye miili ya binadamu kutokana na uwezo wao kimaisha.
[youtube youtubeurl=”bD8QV-pOkAk” ][/youtube]

Umependa hii post? ungependa usipitwe na chochote kinachowekwa hapa? kama ndio, ungana na mimi kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la MillardAyo na uwe mwanafamilia wa millardayo.com

Soma na hizi

Tupia Comments