AyoTV

Kwa nyimbo za Nigeria, hii nayo ni habari ya town @yemialadee

on

Screen Shot 2014-04-12 at 6.20.39 AMWakati miongoni mwa nyimbo za Wanawake zinazochezwa sana redioni kwa sasa Tanzania ni pamoja na ‘maumivu’ ya Khadija, huko Nigeria hii single ya ‘Johnny’ iliyoimbwa na Yemi Alade ndio inamiliki headlines.

Kama hujawahi kuiona unaweza kuitumia hii time mtu wangu
[youtube youtubeurl=”C_XkTKoDI18″ ][/youtube]

Tupia Comments