Vituko/ Comedy

Utani wa Stan Bakora kuhusu upandaji miti October 1

on

October 1, 2016 ni siku maalum iliyopangwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kupanda miti Dar es Salaam, sasa kauli hiyo imemfikia mchekeshaji Stan Bakora ambae leo ametuletea huu utani wake wa upandaji miti.

Unaweza ukabonyeza play hapa, ukishamaliza sio mbaya ukatuachia comment yako ili akipita aone kutoka kwa watu wake

Mheshimiwa @paulmakonda Umeeleweka Sana?.

A video posted by Stan Bakora (@stanbakora) on

ULIIKOSA HII YA WAZIRI MKUU MAJALIWA, WAZIRI MWAKYEMBE NA PROFESA TIBAIJUKA WALIVYOSHINDWA KUJIZUIA KUCHEKA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments