Burudani

VIDEO: Rapper Rosa Ree aomba radhi kwa video yake chafu

on

NI Headlines za Rapper wa kike Rosa Ree ambae hivi karibu aliachia video ya wimbo wake mpya ‘Vitamini U’ aliyomshirikisha rapper kutoka +254 Timmy Dat.

Video hiyo ilichukua vichwa vya habari kutokana na baadhi ya scenes zilizomo kenye video hiyo zikimuonesha Rosa Ree akiwa mtupu.

Sasa leo Novemba 5, 2019 kupitia mtandao wake wa instagram ameomba radhi watanzania ni baada ya kutoka kwenye mkutano alioufanya na bodi ya filamu.

Itazame hii video hapa ujionee Rapper Rosa Ree akiomba radhi kwa video yake chafu

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments