Top Stories

Picha 13 zikionesha Barabara, Kituo cha Mabasi na Daladala, Singida

on

Siku zote sitoacha kukusogezea stori na matukio mbalimbali zinazonifikia mtu wangu, iwe ndani au nje ya mipaka ya Tanzania kuanzia hard news, michezo, sanaa na breaking news zote ambazo utazipata hapa Ayo TV na millardayo.com.

Leo September 5, 2017 millardayo.com imetembelea Mkoa wa Singida na kazi kubwa ni kuzinasa picha mbalimbali za muonekano wa Kituo Kikuu cha Mabasi Misuna…hizi hapa picha 13.

“Sio kila anayepata ujauzito amependa, Rais alitazame upya” – Ester Matiko

Soma na hizi

Tupia Comments