AyoTV

VIDEO:Dogo Janja alivyowapandisha machalii wa chuga kwenye stage fiesta Arusha 2019

on

Ni Headlines za Dogo Janja ambae October 26, 2019 aliwapandisha machalii wa Chuga kwenye jukwaa la fiesta 2019 mkoani Arusha iliyofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Itazame video hapa ujionee kile kilichojiri katika jukwaa la fiesta 2019 baada ya Dogo Janja kuwapandisha machalii wa Chuga

Soma na hizi

Tupia Comments