Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Alichoongea Peter Msechu kwenye XXL leo kuhusu mwili wake
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
September 21, 2023
Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini
September 21, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Alichoongea Peter Msechu kwenye XXL leo kuhusu mwili wake
Habari za Mastaa

Alichoongea Peter Msechu kwenye XXL leo kuhusu mwili wake

July 12, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Mwimbaji wa Bongofleva Peter Msechu amefunguka kuhusu wanaosema juu ya mwili wake kuwa amejiachia sana na kunenepa kupita kiasi huku wengi wakimshauri kupunguza mwili kwa kufanya mazoezi jambo ambalo analipinga.

Akiwa kwenye XXL ya Clouds FM Peter Msechu amedai kuwa yeye ni Brand na mtu yeyote mwenye mtazamo wa kibiashara amuone wafanye biashara ili kupunguza maneno mengi huku akisema pia kuwa ukimya wake kwenye muziki ni kutokana na kuwa na shughuli nyingine zinazomuingizia kipato tofuati na muziki.

>>>“Watu wanaongea kuhusu mwili wangu, Msechu ni brand tusiongee sana kama unaweza na una Gym njoo tukae chini tufanye kazi pamoja. Kila kukicha natumiwa massage hawa wanaouza madawa wananiambia wana shida ‘Nataka unywe dawa utapungua’ mara ‘Sasa hivi huwezi kazi utakimbiwa na wanawake’. Jamani! Mimi nafumaniwa kila kukicha kama unaamini siwezi kazi, uliza wale ninaofumaniwa nao.

“Vitu ambavyo watu hawajui kuwa mimi napata kazi nyingi sana nje ya muziki. Nafanya sound engineering na ku-train vocal. Unaweza kushangaa show yangu ya mwisho Fiesta ilikuwa mwaka juzi, ndio maana unaona najisogeza sana.” – Peter Msechu

VIDEO: Baada ya Diamond na Alikiba, Mo Music katangaza kuja na biashara hii

You Might Also Like

Diamond na Jux wanusurika kifo kwenye lift ya ghorofa

Str8upvibes wameungana na Everthing Dope TZ kumleta mkali wa kwenye ‘Young, Famous and African’

Meneja Chambuso afunguka kubwagana na Aslay

B Dozen amjibu Majizzo, Maulid Kitenge apigilia Msumari

Kwa mara ya kwanza Kajala afunguka sababu za kuachana na Harmonize, aibua mapya

TAGGED: Bongofleva, bongoflevanews
Victor Kileo TZA July 12, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article PICHA 19: Kutoka kwenye mazishi ya Mtangazaji wa EFM Seth Katende
Next Article Mayweather vs McGregor walivyokutana kwa mara ya kwanza
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa Magazetini Kenya leo September 22, 2023
Magazeti September 22, 2023
NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa
Top Stories September 22, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023
Top Stories September 22, 2023
RC Geita aipongeza GGML kudhamini maonesho ya madini, 400 kushiriki
Top Stories September 21, 2023

You Might also Like

Top Stories

NEMC yatoa siku saba kwa Uongozi wa kiwanda kichotengeneza Wadudu, harufu kali yalalamikiwa

September 22, 2023
Top Stories

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 22, 2023

September 22, 2023
Top Stories

Picha: Kutokea kwenye Mkutano kitaifa unaojadili upatikanaji wa Nishati nchini

September 21, 2023
Top Stories

Mabingwa wenye bidhaa za kielectronic ‘Haier’ leo wametangaza habari hii njema mbele ya Waandishi wa Habari

September 21, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?