Habari za Mastaa

Babu Seya na Mwanae watumbuiza kwa mara ya kwanza toka watoke jela (picha 16)

on

Waimbaji Papii Kocha na Baba yake mzazi Nguza Viking maarufu kama Babu Seya usiku wa March 10 2018 Dar es Salaam walikata kiu ya miaka 13 ya Mashabiki wa muziki wao na kufanya show yao ya kwanza toka waachiwe kutoka gerezani.

Babu Seya na Papii Kocha walifanya show hiyo iliyokuwa imepewa jina la The Viking’s ikiwa ni siku 92 zimepita toka watoke gerezani kwa msamaha wa Rais Magufuli baada ya kutumikia kifungo cha maisha kwa miaka 13 jela.

Papii Kocha na mtoto wake kwenye stage.

Soma na hizi

Tupia Comments