Top Stories

USIKU HUU: Mwanzo mwisho Daladala ya abiria inavyoteketea Moto, Mwenge DSM

on

Taarifa za usiku huu wa October 1, 2018 ni kwamba Gari aina ya Daladala lenye namba za usajili T 742 DMU linalofanya safari zake hapa Dar es Salaam limeteketea kwa moto maeneo ya Mwenge Dar es Salaam wakati lilipokuwa limepaki kituoni.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama GARI LIKITEKETEA KWA MOTO

Soma na hizi

Tupia Comments