Habari za Mastaa

VIDEO: Kubomolewa kwa Club Elements usiku, Uongozi umezungumza

on

Usiku wa November 24, 2018 zilisambaa taarifa kuwa Club ya Elements iliyopo maeneo ya Masaki DSM inavunjwa ndipo AyoTV na millardayo.com zikafika eneo la tukio na kukuta sehemu ya eneo la Club hiyo likibomolewa na kuzungumza na Uongozi wa hapo ambao umetoa ufafanuzi wa hilo.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO.

VIDEO: NUH MZIWANDA AMETUONYESHA PUB YAKE MPYA ALIYOFUNGUA

EXCLUSIVE: WHOZU KAFUNGUKA KUMTUMIA MAMA VIDEO VIXEN “NI MAMA YANGU WA HIARI”

Soma na hizi

Tupia Comments