Moja kati ya mastaa wanaosherehekea kumbukumbu ya siku yao ya kuzaliwa March 17 2018 ni pamoja na muimbaji Linah ambaye aliamua kusherehekea siku yake hiyo akiwa visiwani Zanzibar.
Birthday Party ya Linah ambayo imefanyika Zanzibar imehudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo familia yake na wasanii wenzake.