Wanasayansi Marekani wameeleza kuwa upo uwezekano wa hivi karibuni kupata tiba ya kukurekebisha kumbukumbu za binadamu jambo ambalo halijawahi kutokea duniani.
Kwa mujibu wa Jukwaa la Uchumi Duniani ‘WEF’ Wataalamu hao kutoka Chuo Kikuu cha Afya Columbia na McGill wamegundua aina mbili za mishipa ambayo inaweza kutumiwa kufuta kumbukumbu za matukio mabaya kwenye akili ya binadamu.
Mmoja wa Wataalamu hao Samuel Schacher amesewa kufanikiwa kwa matibabu hayo kutaponya watu wenye matatizo ya hofu, kiwewe, wasiwasi, msongo wa mawazo na mengine yanayotokana na matukio yaliyotokea siku za nyuma.
Umepitwa? DC Arusha aagiza Wanafunzi wapimwe mimba kila miezi mitatu