Duniani

VIDEO: TOP 10 ya meli kubwa duniani kwa mwaka 2016

on

Moja kati ya usafiri unaotumika kubeba abiria au mizigo mingi kwa mara moja ni meli, meli ina uwezo wa kubeba watu hata zaidi ya 1000 kwa mara moja, mara nyingi meli ndio zinazotumika kubeba shehena kubwa za mizigo kama magari kutoka Japan kuja Tanzania na kwingineko, mtu wangu wa nguvu nimekutana na video yenye list ya meli 10 kubwa duniani.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

KAMA ULIIKOSA HII, MAMBO MATANO YA KUFAHAMU KUHUSU DARAJA LA KIGAMBONI

Soma na hizi

Tupia Comments