Habari nilizozipata kutoka Mwanza ni hii taarifa za kufungiwa kwa Kampuni ya SAHARA MEDIA kwa siku 14 ikidaiwa kodi ya zaidi ya Bilioni 4 na Mamlaka ya Mapato Tanzania ‘TRA’.
Sahara Media inamiliki Star TV, RFA na Kiss FM endapo watashindwa kulipa ndani ya siku 14 TRA itapiga mnada Kampuni hiyo.
Sahara Media inayomiliki StarTV, RFA na Kiss FM imefungwa na TRA kwa siku 14 inadaiwa kodi zaidi ya Bilion 4, isipolipa TRA wataipiga mnada. pic.twitter.com/8WTkZFE6HN
— millardayo (@millardayo) July 13, 2017
Teknolojia ya Panya kutoka Tanzania ambayo inashinda za Wazungu!!!