Top Stories

‘Chama chenye nguvu na umoja ni cha walevi, chama hichi ni hatari’ – RC Makonda

on

Leo April 12, 2018 imefanyika shughuli ya kuwatunuku vyeti na zawadi za Pikipiki, Saruji, Mabati,fedha na vifaa vya ndani kwa Askari polisi wazalendo waliofanya vizuri katika kazi yao huku Askari wengine wakiombwa kujituma kwa moyo mmoja kulinda usalama wa raia na Mali zao.

Katika shughuli hiyo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul Makonda ambaye alipata nafasi ya kuzungumza na hata kutoa hamasa kuhusu timu ya Taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17Serengeti Boys‘.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO.

VIDEO: “MTUHUMIWA AKIKIMBIA NCHI, GARI LAKE LIMEKAMATWA, LITUMIKE KUKAMATA WAHALIFU WENGINE”

Soma na hizi

Tupia Comments