Videos

VideoMPYA: Dada yao Vanessa Mdee, Nancy anatualika kuitazama hii

on

Msanii wa nyimbo za injili Nancy Hebron ambaye ni ndugu wa damu na msanii Vanessa Mdee pamoja na Mimi Mars ameachia wimbo wake mpya ambao ametuletea video yake inaitwa ‘Shetani Kaa Nyuma Yangu’, karibu kuitazama kisha usisahau kuniachia comment yako mtu wangu na itamfikia Nancy.

Irene Kafunguka “Masogange alinilalamikia Rammy anapenda mteremko”

Gigy Kajifungua “Huwezi kumuona mwanangu hata kwa Milioni 90”

Soma na hizi

Tupia Comments