Habari za Mastaa

Video ya kwanza niliyoitazama leo asubuhi. @baloziz

on

Screen Shot 2014-04-15 at 11.49.52 AMNi siku kadhaa toka ulipotoka mchongo wa dili la Mtanzania mwenye vigezo kupata ubalozi wa kinywaji kipya town ambapo watu mbalimbali wenye vigezo wametakiwa kurekodi video ya sekunde 30 kuelezea kwa nini upewe hili dili kwa kuituma 0769111223 Whatsapp, video ambazo zinaendelea kupokelewa mpaka sasa.

Leo nimekutana na hii ya Mtangazaji Reuben Ndege a.k.a Ncha kalih akishusha mistari yake ndani ya sekunde 30 kuelezea kwa nini upewe shavu la ubalozi wa Gambe mpya kutoka Serengeti Breweries.

Kilichonifurahisha ni jinsi alivyowasilisha sera zake hapa chini…

[youtube youtubeurl=”1ujoWAcilL4″ ][/youtube]

Tupia Comments