Michezo

Full Time ya Chelsea vs Sunderland April 19, wafungaji na video ya magoli yenyewe

on

Screen Shot 2014-04-20 at 12.59.23 AMMpaka game inaisha Chelsea ilikua imepigwa mbili zilizofungwa na Wickham kwenye dakika ya 18 huku Borini akifunga kwa penati kwenye dakika ya 82 wakati goli moja na pekee ya Chelsea likifungwa na Eto’o kwenye dakika ya 12.

Tupia Comments