AyoTV

FULL VIDEO: Lowassa, Mbowe na Wabunge wengine kwenye Harusi ya Profesa Jay

on

Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe pamoja na Wabunge wengine wa UKAWA walikuwa miongoni mwa wageni walioalikwa kwenye harusi ya Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Profesa Jay’ aliyefunga ndoa na Grace baada ya miaka 13 ya uchumba.

Hii VIDEO ni Wabunge hao wakionesha uhodari wao wa kucheza muziki…unaweza kutazama kwa kubonyeza PLAY!!!

Suprise ya Diamond Platnumz kwenye harusi ya Profesa Jay na Grace!!! 

Soma na hizi

Tupia Comments