Mix

Uteuzi mwingine wa Rais Magufuli leo July 6, 2017

on

Rais Magufuli amemteua Bw. Waziri Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL).

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa uteuziwa Bw. Waziri Waziri Kindamba umeanza July 4, 2017.

Kabla ya uteuzi huo, Bw. Waziri Waziri Kindamba alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Wakili afunguka kesi inayowakabili UAMSHO!!

Soma na hizi

Tupia Comments