Breaking News

BREAKING: Magazeti yote Tanzania yanatakiwa kusajiliwa upya (+video)

on

Leo August 23, 2017 Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Hassan Abbass ameketi mbele ya Waandishi wa habari kueleza maamuzi mapya ya Serikali kusajili upya Magazeti yote ya Tanzania kabla ya October 15 2017, kwenye hii video hapa chini ameongea yote tunayopaswa kufahamu.

EXCLUSIVE: AyoTV yamtembelea Mzee Kikwete nyumbani kwake Msoga, tazama hapa chini kwenye hii video kumtazama na kumsikiliza mwanzo mwisho

Soma na hizi

Tupia Comments