Vituko/ Comedy

Mchekeshaji wa Nigeria akizungumzia jinsi Warembo wa nchi hiyo wanavyosali.

on

Screen Shot 2014-04-30 at 4.21.09 AMWachekeshaji wa Nigeria ni miongoni mwa mastaa matajiri nchini humo ambao hula mashavu ya Ubalozi kwenye makampuni mbalimbali makubwa yakiwemo ya simu na hii ni kutokana na ukubwa wa kazi yao lakini pia vilevile watu wa nyumbani kuelewa na kuamua kusupport vipaji vya nyumbani.

Hapa kwenye hii video nakukutanisha na mchekeshaji anaewazungumzia warembo wa Nigeria wanapokuwepo kanisani wakati wa maombi na aina ya maombi wanayowasilisha kwa Mwenyenzi Mungu kuhusu waume wanaohitaji.

https://www.youtube.com/watch?v=Va8iVonulhc

Tupia Comments