Imekua hit single ambayo imemiliki hata chati za muziki kwenye redio za Tanzania ikiwemo Clouds FM Top 20 ambapo ilikaa kwenye namba 1 kwa zaidi ya wiki nne mfululizo ikiwa ni single nyingine iliyotumika kama mlio kwenye simu nyingi za Watanzania 2014.
Hii ni kwaya ya shule ya Detroit Marekani.