Habari za Mastaa

Mwigizaji maarufu aliefariki dunia

on

Screen Shot 2014-04-30 at 4.38.29 PMImefahamika kwamba mwigizaji Bob Hoskins amefariki dunia jana usiku akiwa na umri wa miaka 71 baada ya kusumbuliwa na pneumonia.

Bob alistaafu kuigiza toka mwaka 2012 baada ya kuanza kusumbuliwa na maradhi ambapo kazi zake za karibuni ni Snow White and the Huntsman in 2012.

Ameacha mke na watoto wanne.

Tupia Comments