Michezo

Umeuona utani uliosambazwa kuihusu Chelsea inayocheza na Atletico Madrid leo?

on

Screen Shot 2014-04-30 at 8.00.29 PMLeo Chelsea inacheza na Atletico Madrid ambapo watani wameshalianzisha kwa kusambaza picha na maneno kuhusu club hiyo ya Chelsea ambayo imekua ikipokea headlines za lawama kwamba imekua ikicheza kwa mfumo wa kuweka basi golini yani wachezaji kujazana.

Ni meneno ambayo yamekua yasikika hata kutoka kwa baadhi ya makocha walioamua kuweka wazi na kuuponda uchezeshaji wa kocha Jose Mourinho kupanga wachezaji golini kama basi ambapo hii hapa chini ni msg iliyosambazwa ikiambatana na hiyo picha.
Screen Shot 2014-04-30 at 8.00.36 PM

Tupia Comments