Miji/Nchi

Picha 14 za muonekano wa Kituo Kikuu cha Daladala Jamatin, Dodoma

on

Kazi yangu kila siku ni kuhakikisha nakusogeza karibu na habari na matukio mbalimbali ya ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kuanzia hard news, michezo, sanaa na breaking news zote ambazo utazipata hapa millardayo.com.

Leo July 20, 2017 millardayo.com imetembelea Makao Makuu ya Tanzania Dodoma na kazi kubwa ni kuzinasa picha mbalimbali za muonekano wa Kituo Kikuu cha daladala Jamatini…hizi hapa picha 14.

VIDEO: Dr Tulia, Naibu Waziri Wambura walivyozindua michezo Mbeya 

Soma na hizi

Tupia Comments