Michezo

Full Time ya Real Madrid vs Valencia May 4.

on

Screen Shot 2014-05-05 at 5.20.30 AMMagoli ya Real Madrid yamefungwa na Ramos kwenye dakika ya 59 na Ronaldo kwenye dakika ya 90 +2 huku ya Valencia yakifungwa na Mathieu dakika ya 44 na Parejo dakika ya 65 hivyo matokeo kuwa 2-2.

Tupia Comments