Ni Headlines za staa wa marekani wa kike aitwae Rihanna ambae time hii anatarajiwa rasmi kuachia album mpya itakayoingia sokoni mwezi Desemba 2019.
Taarifa hizo zimethibitishwa na mmoja ya wafanyakazi wa kampuni ya Universal Music ambayo itahusika kwenye kuisambaza Album hiyo mpya iliyosubiriwa kwa hamu na mashabiki duniani kote.
Hapo Awali Rihanna aliwahi kuzungumza juu ya ujio huo wa album yake ila hakuweka wazi kuwa ni mwezi gani itaachiwa yaani wakati gani itaingia sokoni.
Hapa chini nimekuwekea tweet ya mmoja ya wafanyakazi kutoka Universal Music ambae ameyaandika maneno yanayoashiria ujio wa album hiyo mwezi desemba 2019.
ULIIKOSA HII YA MKENYA ALIEKINUKISHA MPAKA UNO YA HARMONIZE KUVUTWA BASI ITAZAME HAPA