Habari za Mastaa

Pichaz 10 za show ya Yamoto Band ndani ya Mombasa Kenya, mashabiki walivyochezeshwa kimadoido …

on

Yamoto Band baada ya kusambaza upendo wa burudani pande za Geita, Mwanza, Songea, Mbinga na Mbambabay, usiku wa mkesha mwaka mpya yaani December 31 waliamua kwenda kutoa burudani ya nguvu kwa majirani zao wa Kenya. Yomoto Band walidondosha burudani pande za Mombasa Kenya. Yamoto walipiga show ya hit singles zao zote na kuukaribisha mwaka mpya na mashabiki wao wa Mombasa. Hizi ni pichaz 10 kilivyohappen Mombasa.

IMG-20160101-WA0011

IMG-20160101-WA0020

IMG-20160101-WA0018

IMG-20160101-WA0013

IMG-20160101-WA0014

IMG-20160101-WA0015 (1)

IMG-20160101-WA0016

IMG-20160101-WA0017

IMG-20160101-WA0012

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments