fB insta twitter

Sentensi 3 za Chidi Benz toka tukio la kumpiga mpenzi wake wa zamani

on

Screen Shot 2014-05-05 at 5.47.36 AMRapper Chidi Benz aliingia kwenye headlines baada ya kudaiwa kumpiga Mwanamke ambae ni mpenzi wake wa zamani hivyo kupelekwa sero weekend ya Pasaka kwa tuhuma za kumpiga Mwanaisha kwenye baa moja maeneo ya flat za Ilala boma.

Kwa mujibu wa Soudy Brown anaemiliki makorokocho.co Mwanaisha alipasuka mdomo na kushonwa nyuzi 18, uso umeumia na kichwa kimevimba.

Ni headline ambayo imetokea sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari ambapo Chidi Benz sikumsikia kokote isipokua baadae aliandika sentensi tatu kwenye page yake ya twitter.

1: ‘Napata matatizo kila siku haimaanishi kama ni mbaya, nooop napata matatizo kila siku iko hivyo ndio maana hubaki peke yangu, m sorry love’

2. ‘stronng be u do u, eaazzzy’

3. ‘Mpaka historia ivunjwe sio leo, miaka mi5 mfululizo sijui kwanini hawawezi kusahau. no lie’

Screen Shot 2014-05-05 at 5.46.26 AM

Screen Shot 2014-05-05 at 5.46.18 AM

Screen Shot 2014-05-06 at 11.20.05 PMUnataka stori kama hizi zisikupite? kaa na mimi kwenye twitter instagram na facebook kwa jina hilohilo la @millardayo ili niwe nakutumia mtu wangu

Tupia Comments