Michezo

Full Time ya Man United vs Hull City May 6

on

Screen Shot 2014-05-07 at 12.47.14 AMGame ya Manchester United vs Hull City May 6 2014 imeisha kwa Man U kuchukua ushindi wa 3 zilizofungwa na Willson kwenye dakika ya 31 na 61 alafu Van Persier dakika ya 86 huku Hull wakiondoka na moja lililofungwa na Fryatt kwenye dakika ya 63.

Moja kati ya vitu vilivyoleta shangwe kwenye hii game ni wakati kocha wa muda wa Manchester United Ryan Giggs alipoingia uwanjani na kucheza kwenye kipindi cha pili ambapo ndani ya dakika hizo alikosa goli moja kali la kuachia shuti la mbali lililolenga goli lakini kipa akapangua.

Unataka usipitwe na stori kama hizi? nitakutumia kwenye page yako ya twitter instagram and facebook jiunge na mimi natumia jina hilohilo la @millardayo

Tupia Comments