AyoTV

VIDEO: Marioo, Baddest 47, Gudluck walivyowapagawisha Wanafunzi Dodoma

on

Ikiwa leo ni siku ya kuandika historia ya burudani mkoani Dodoma ya Fiesta 2019, sasa kabla ya kutolewa kwa burudani hiyo wasanii walifika katika shule ya Sekondari Dodoma na kuzungumza nao na hapa nimekusogezea video ujionee Marioo, Baddest 47 pamoja na mwimbaji wa nyimbo za dini Gudluck Gozbet walivyopewa shangwe la nguvu.

 

Soma na hizi

Tupia Comments