Mix

PICHA 10: Mwili wa Mbunge Dr. Elly Macha ukiagwa Bungeni Dodoma

on

Waziri mkuu kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine wakiwemo wa Bunge na wa dini mbalimbali wameshiriki katika kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa viti maalum CHADEMA Dr. Elly Macha katika viwanja vya bunge Dodoma leo hii

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai pamoja na waziri Jenista Mhagama wakati wa kuupokea mwili wa Dr. Macha.

VIDEO: Ulipitwa na Majibu ya Waziri Mkuu kwenye maswali yote yaliyoulizwa Bungeni Dodoma April 20? Tazama hapa

Soma na hizi

Tupia Comments