Habari za Mastaa

AUDIO: Rapper Stamina katangaza collabo mpya na Mkenya

on

Ni rapper Stamina ambae leo Dec 9, 2016 anazimiliki headlines baada ya kutangaza collabo mpya aliyoifanya na rapper kutokea Kenya, Khaligraph Jones.

Akizungumza na millardayo.com & Ayo TV Stamina alisema …….>>>Nina project moja ambayo nimefanya na msanii wa kenya na wawili wa Uganda, kwanza nawashukuru mashabiki zangu wa Kenya kufanikisha hili collabo na Khaligraph Jones wanamjua’

‘Ni mtu ambae amekubali sana nilichokifanya kwenye single hiyo kwahiyo sasa hivi tutategemea muda wa kuiachia lakini tunajipanga kwanza kufanya maandalizi ya video baada ya hapo tutakuwa tayari kuiachia hewani’

Unaweza ukabonyeza play hapa chini kumsikiliza Stamina

 

Soma na hizi

Tupia Comments