AyoTV

VIDEO: “Napingana na mapendekezo ya Serikali” –Nape Nnauye

on

Ni zamu nyingine tena ya Mbunge wa Mtama Nape Nnauye kwenye habari kubwa kutokea Bungeni ambapo leo November 10, 2017 alisimama aliposimama kuchangia mapendekezo yake katika mpango wa maendeleo wa taifa kwa mwaka wa fedha 2018/19 ambapo baadhi ya mambo aliyolieleza bunge ni nana anavyopingana na mapendekezo ya serikali kwenye uwekezaji wa miradi mbalimbali.

Nape amesema…”NilishItuka kidogo nilipoona serikali inapendekeza kuwekeza pesa za serikali kwenye miradi ambayo inaweza kuendeshwa kibiashara, nilitegemea kuona tukiruhusu sekta binafsi kuwekeza kwenye miradi hii badala ya kuchukua pesa ya serikali na kuipeleka kule kwasababu madhara yake ni makubwa”-Nape Nnauye 

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments