Premier Bet
TMDA Ad

Habari za Mastaa

Christian Bella ameungana na Ommy Dimpoz kwenye hii.

on

Screen Shot 2014-05-20 at 2.02.01 AMChristian Bella alipotangaza kufanya kolabo na mkali wa bongofleva Ommy Dimpoz kila mmoja alikua na hamu ya kuona kitatokea nini hawa jamaa wakionganisha uwezo wao na sauti zao kwenye wimbo mmoja, hatimae kila kitu kimekamilika na video yao ndio hii hapa chini.

Umeionaje video na wimbo wenyewe? Christian Bella anaomba umwachie ya moyoni kwa kuandika comment yako hapa chini kisha baadae atapita kusoma

Kama unataka stori kama hizi zisikupite ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, pia FACEBOOK & INSTA ili niwe nakutumia kila stori inayonifikia.

Tupia Comments