AyoTV

Feza Kessy on AyoTV! kaongea kwa dakika 8… South Africa, mpenzi wake, mtoto na mengine ya anakoishi

on

Screen Shot 2014-05-21 at 6.06.53 AMAmekua ni sehemu ya Watanzania wanaomiliki headlines nje ya Tanzania lakini ndani ya Afrika baada ya kuiwakilisha nchi kwenye shindano la BIG BROTHER 2013 na kuyaanza mapenzi na staa mwenzake waliekutana BBA Mbotswana O’neal.

Feza ambae anasoma na kuishi Afrika Kusini, aliporudi Dar es salaam siku kadhaa zilizopita alifanya Exclusive interview na AyoTV ambayo alizungumza zaidi ya dakika 25 ila kwa sasa tunakupatia dakika 8 za mwanzo.

Staa huyu ambae ana single mpya ya ‘my papa’ kwenye radio sasa hivi, alivyovizungumzia kwenye hii interview ni pamoja na muziki wake, mtoto wake, mpenzi wake kupata kazi South Afrika baada ya wote wawili kuhamia rasmi nchini humo, jinsi anavyolipwa kwa kutokezea tu kwenye event na ishu nyingine.

Stori kama hizi ni halali yako zisikupite…. ili niwe nakutumia kila kinachonifikia, ungana na mimi kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA, kama upo Facebook na Instagram pia unaweza kubonyeza FB na INSTA ili kupata kila stori inayonifikia zikiwemo videoz, vituko, pichaz, music na mengine yote.

Kuna stori nyingine ya Feza itakuja kuhusu anachotaka mwakilishi wa Tanzania BBA 2014 afanye nini, jinsi anavyolipwa kwenye aina mpya ya kazi South Africa na mengine so kaa pia karibu na AyoTV kwenye twitter kwa kubonyeza HAPA

Tupia Comments