Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Fahamu Collabo ya Babyface na Ella Mai kuanzia studio mpaka kutumbuiza BET awards 2022
Share
Notification Show More
Latest News
Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
August 11, 2022
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Fahamu Collabo ya Babyface na Ella Mai kuanzia studio mpaka kutumbuiza BET awards 2022
Entertainment

Fahamu Collabo ya Babyface na Ella Mai kuanzia studio mpaka kutumbuiza BET awards 2022

August 4, 2022
Share
1 Min Read
SHARE

Najua nina watu wangu ambao mkiulizwa wasanii wa zamani wenye  hits zilizotikisa duniani hususani kwenye muziki wa Marekani upande wa R&B basi jina la Kenneth Brian a.k.a Babyface hautoacha kulitaja kutokana na uimbaji wake uliokuwa ukiwakosha wapenzi wa muziki.

kwasasa staa huyo Babyface mwenye miaka (63) amerudi tena na hii inatupa majibu kwamba bado yupo vizuri na ametuletea collabo yake akiwa na Ella Mai.

Kwa maelezo ya Babyface alipohojiwa na kituo kikubwa cha luninga nchini Marekani alisema collabo hii ilirekodiwa mwaka 2021 mwezi wa tatu sema wawili hao hawakuwa na utayari wa kuichia mapema.

Na ndipo Mwaka huu 2022 mwezi July 17 wakaamua kuiachia rasmi collabo yao katika platform mbalimbali na kuipa jina la Keeps On Fallin.

Mpaka sasa wawili hao wameshautumbuiza wimbo huo kwenye hafla ya utoaji wa tuzo za BET 2022 yaani Black Entertainment Television huko nchini Marekani.

 

Collabo hii inaendelea kumpa heshima Babyface kwenye kiwanda cha muziki na kudhihirishia dunia kuwa bado ni wa moto kwenye uimbaji.

Mpaka sasa wimbo huo kupitia Youtube umeshasikiliza na idadi ya watu zaidi 1,000,186 tangu ulipoachiwa Mwezi July 17 Mwaka huu.

 

 

 

 

You Might Also Like

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani

Nandy ametuletea hii video mpya ya wimbo wake akiwa na Oxlade ‘Napona’

Meneja wa Diamond ‘Sallam’ atia neno baada ya Kizz Daniel kuwaomba radhi watanzania

Sakata la Kizz Daniel, Wanigeria washangazwa na uzuri wa kituo cha Polisi ‘Oystebay’, Muliro anena haya

Romy Jons aandika barua hii amtaka Diamond asisaidie tena wasanii, Diamond amjibu haya

Edwin TZA August 4, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Jeshi la Polisi limemkamata mtu mmoja tuhuma mauaji ya Mwanafunzi wa Chuo UDSM
Next Article Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Huyu ndie Kizz Daniel, Bilionea wa Buga, Mikasa ya Polisi mpaka kupelekwa Mahakamani
Entertainment August 12, 2022
Basi la New Force latumbukia korongoni, Mmoja afariki, Polisi anena chanzo
Top Stories August 12, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 12, 2022
Magazeti August 12, 2022
PICHA: Matukio ya Mkutano Mkuu wa CAF uliyofanyika Tanzania
Sports August 11, 2022

You Might also Like

Sports

Kauli ya Simba SC baada ya Tundaman kuingia na Jeneza ‘Simba day’ uwanja wa Mkapa

August 10, 2022
Sports

Picha 19: Uzinduzi wa Jezi mpya za Simba SC, Mashabiki wafurika Dukani DSM

August 7, 2022
Sports

Simba wafunga usajili kwa kishindo, washusha mshambuliaji kutoka Ulaya

August 7, 2022
Sports

Manara amuingiza Hersi kwenye 18 za TFF

August 7, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?