Top Stories

Waziri Lukuvi kawasha moto Tanga, amsimamisha kazi Afisa wa Kanda “jifunze sheria”

on

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Willium Lukuvi amemsimamisha kazi Afisa Ardhi Mwandamizi Kanda ya Kaskazini Thadeus Riziki kwa kummilikisha mwekezaji COALTAIL ENTERPRISE LTD shamba la Amboni lenye ukubwa wa ekari zaidi ya elfu tisa kinyume na sheria, mwaka 2017.

Waziri Lukuvi ametoa kauli hiyo wakati wa mkutano wake wa hadhara na wananchi wa Jijila Tanga uliofanyika katika viwanja vya Tangamano Jijini Tanga.

WACHIMBAJI NA DC CHUNYA WAMKATAA AFANDE, KISA NI KUCHUKUA RUSHWA MIGODINI

Soma na hizi

Tupia Comments