Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mkali wa Amapiano kutua DSM wikiendi hii? ,Elements BAR waweka teaser hii
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
May 29, 2023
Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria
May 29, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Mkali wa Amapiano kutua DSM wikiendi hii? ,Elements BAR waweka teaser hii
Entertainment

Mkali wa Amapiano kutua DSM wikiendi hii? ,Elements BAR waweka teaser hii

January 10, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mbali na kwamnba tuko kwenye mwezi wa kulipa bili ikiwemo mashule ama kodi mbalimbali lakini Elements Bar Masaki kazi yao ni kukuondoa mawazo yote.

Na leo January 10, 2022 ameweka teaser ya mtayarishaji na muandaji wa muziki wa Amapiano, Myztro ambae huenda akatua wikiendi hii Dar es Salaam kwaajili ya kutoa burudani kupitia nyimbo zao zilizopata maarufu kama Amapiano.

Mytztro amejipatia umaarufu baada ya kufanya ngoma kadhaa ikiwemo aliyomshirikisha Focalistic inakwenda kwa jina la Tobetsa.

Huu unakuwa na muendelezo wa kuburudisha wapenzi na wadau wa muziki Amapiano hususani wanaofika katika kiota hicho Elements Masaki Dar es Salaam.

Hivyo endelea kukaa karibu na Millardayo.com pia tutaendelea kukujuza kila kinachoripoti hususani zitakazotufikia ndani na nje ya Tanzania.

View this post on Instagram

A post shared by ELEMENTS (@elementstz)

You Might Also Like

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Zari The Boss Lady Elements Masaki DSM

VideoMPYA: Conboi katuletea hii ‘Till i die’ akiwa na Khaligraph Jones

Lil Durk aachia albamu mpya ya ‘Almost Healed’ yenye mastaa kibao ndani yake

Rapa Kodak Black aachia Albamu yake mpya ‘Pistolz & Pearlz’

LeBron James anasema huenda akastaafu mpira wa kikapu

TAGGED: Amapiano, Elements Masaki
Edwin TZA January 10, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Gigy Money ametuletea hii video mpya ‘Dharau’ itazame hapa
Next Article Serikali kuandaa maeneo wezeshi ya Kilimo ili Vijana kutojihusisha na mchezo wa kamari ‘bet’
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo May 30, 2023
Magazeti May 30, 2023
Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’
Top Stories May 29, 2023
Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)
Top Stories May 29, 2023
Hospitali yachunguzwa kwa madai ya kuwaweka watoto wachanga kwenye maboksi
Top Stories May 29, 2023

You Might also Like

Top Stories

Waziri Masauni asimama Bungeni Mei 29, 2023 ‘Watanzania 66 waukana Uraia’

May 29, 2023
Top Stories

Sentensi za Mkurugenzi wa Asas kwenye Mkutano Mkuu wa 37 wa Jumuiya ya Tawala za mitaa Tanzania (ALAT)

May 29, 2023

Marekani yabatilisha visa ya spika wa bunge la Uganda baada ya saini Mswada mkali wa ushoga kuwa sheria

May 29, 2023
Top Stories

Waziri wa mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov azuru Kenya

May 29, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?