Mix

VideoFUPI: Kingine alichokipost RC Paul Makonda Instagram

on

Baada ya kuwepo taarifa nyingi kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na wengine wakisubiri kusikia chochote kutoka kwake, kiongozi huyo hajazungumza chochote na amekuwa akipost video zenye jumbe za mahubiri au nyimbo za dini. Leo March 21, 2017 kwenye account yake Instagram amepost video vupi.

Itazame hapa chini.

A post shared by Paul Makonda (@paulmakonda) on

VIDEO: Zilikupita dakika 5 za RC Makonda mbele ya Rais Magufuli kwenye uwekaji jiwe la msingi Ubungo Dar es salaam?. Bonyeza play kutazma hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments