Michezo

Full time ya Real Madrid vs Atletico Madrid May 24 2014

on

Screen Shot 2014-05-24 at 10.25.35 PMNi game ambayo ilianza kwa matumaini ya mashabiki wengi wa Real Madrid kuamini kwamba timu yao ndio ingewahi kupata magoli ila haikuwa kama walivyoamini bali Atletico Madrid ndio walilianzisha kwa kupata goli la kwanza kupitia kwa Diego Godin dakika ya 36.

Kwenye dakika ya 90 + 3 mpira ukikaribia kuisha Ramos aliifufua furaha ya mamilioni baada ya kuipatia Real Madrid goli la kusawazisha na kufanya hii mechi ipewe Extra time ambako Real waliongeza mengine matatu Bale akilianzisha kisha Marcelo na Cristiano Ronaldo.

Kabla ya mechi hii kuanza hizi hapa chini ndio zilikua takwimu makocha wa timu hizi mbili kwa mujibu wa Super Sport.

Screen Shot 2014-05-24 at 11.32.31 PMNiko tayari kukuhudumia kwa kukutumia kila kinachonifikia ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> Twitter Instagram facebook na kupata pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia.

Tupia Comments