Top Stories

Tazama muonekano wa juu wa mzunguko wenye sanamu ya samaki Kigoma (+video)

on

Leo March 15, 2019 Mkoa wa Kigoma umezindua sanamu ya samaki aina mgebuka anayepatikana katika Ziwa Tanganyika pekee Duniani katika Mkoa wa Kigoma.

Sanamu hiyo imejengwa chini ya wakala wa barabara nchini TANROADS imegharimu shilingi millioni 7 na imejengwa katikati ya Manispaa ya Kigoma Ujiji katika eneo la Mwanga Sokoni ikiwa ni nembo inayotambulisha Mkoa wa Kigoma.

MAGAZETI LIVE: Lissu kwenye mateso mapya, Nassari avuliwa Ubunge akiwa kazini

Soma na hizi

Tupia Comments