Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Video 2 za mwisho marehemu Ngwea kuonekana Afrika Kusini siku 7 kabla ya kufariki.
Share
Notification Show More
Latest News
Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
August 8, 2022
International Marathon yaacha historia Zanzibar
August 7, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > AyoTV > Video 2 za mwisho marehemu Ngwea kuonekana Afrika Kusini siku 7 kabla ya kufariki.
AyoTVStori Kubwa

Video 2 za mwisho marehemu Ngwea kuonekana Afrika Kusini siku 7 kabla ya kufariki.

May 28, 2014
Share
1 Min Read
SHARE
Screen Shot 2014-05-28 at 4.37.10 PM
Ngwea Mossred na M2theP

Kila Mtanzania aliemfahamu Ngwea alishtushwa na taarifa za kifo cha Ngwea kilichotokea Johannesburg Afrika Kusini kwa sababu kilikua ni kifo cha ghafla ambapo saa kadhaa baadae nilifanikiwa kuwasili Afrika Kusini na kuanza kuifatilia hii taarifa ambayo bado ilikua inawachanganya kama ni kweli kafariki au sio.

Screen Shot 2014-05-28 at 4.12.43 PMKwenye hiyo picha hapo juu ni ndani ya dakika 20 tu baada ya kufika kwenye hospitali mwili wa Ngwea ulipokua umehifadhiwa na huyu dada ndio niliongea nae akawa mtu wa kwanza kunipa taarifa kwamba M2theP hakuwa amefariki dunia kama ilivyokua tayari imetangazwa na baadhi ya vituo vikubwa vya TV Tanzania.

Ni mwaka mmoja umetimia leo toka Ngwea afariki dunia ambapo M2TheP kwa sasa amerudi na anaishi nyumbani Tanzania.

Hii hapa chini ni video ya mwisho ambayo Ngwea alionekana siku kadhaa kabla ya kifo chake, alishirikishwa na msanii Mtanzania ambae anaishi Afrika kusini ambae anasema wakati video inafanyika hakukua na ishara yoyote kutoka kwa Ngwea kama angefariki, alikua poa sana.

Ili niwe nakutumia kila taarifa inayonifikia jiunge na mimi kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram facebook na kupata pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia.

You Might Also Like

Tazama ilivyofanyika Ibada ya mazishi ya Mwalimu Kashasha (Video+)

Tanzia:Mfanyakazi wa Ayo TV afariki ajalini na Yusuph

Chege kaweka wazi chanzo cha kupishana na Diamond Platnumz kwa ishu ya Mbosso

Ukali wa DC Jokate alivyoagiza watumishi wa Tanesco kupelekwa rumande ‘Sina huruma’

Dorah ashindwa kujizuia amwaga machozi asimulia magumu aliyopitia kwenye maisha yake

Millard Ayo May 28, 2014
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Baada ya Ney wa Mitego, mwingine kwenye mapenzi na Irene Uwoya ametajwa huyu
Next Article Aina mpya ya ulipaji nauli kwenye Matatu (daladala) za Kenya
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
Mix August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
Top Stories August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
Mix August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
Magazeti August 8, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 7, 2022

August 7, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 6, 2022

August 6, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 5, 2022

August 5, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 4, 2022

August 4, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?