Michezo

Usiku wa UEFA Champions League, Juventus ikiwa club ya 9 kuweka record kwa Simeone

on

UEFA Champions League imeendelea tena leo usiku wa Septemba 18 2019 kwa michezo kadhaa kuchezwa, Real Madrid wameendelea kuwa na wakati mgumu baada ya kupigwa 3-0 dhidi ya PSG.

Wakati Juventus ya Italia wakiwa na staa wao Cristiano Ronaldo wamefanikiwa kuondoka na sare ya 2-2 dhidi ya Atletico Madrid katika uwanja wa Wanda Metropolitan nchini Hispania.

Kwa kufungwa kwa magoli mawili kwa Juventus wakiwa ugenini inakuwa club ya tisa kuondoka ugenini dhidi ya Atletico ikiwa chini ya Diego Simeone baada ya Zenit, AC Milan, Benfica, Rostov, Real Madrid, Chelsea, Qarabag
na Club Brugge.

Soma na hizi

Tupia Comments