Michezo

Cristiano Ronaldo na ustaa wake, tazama jinsi alivyowasili kujiunga na timu ya taifa

on

Screen Shot 2014-05-30 at 12.09.53 PM

Hili ndio gari alilowasili nalo.

Ni jana tu May 29 2014 Cristiano Ronaldo ametajwa kushika namba moja kwenye list ya mastaa kumi wa soka ambao wanavutia kibiashara na kufanya kazi na makampuni makubwa ya kibiashara duniani.

Hii post inahusu kuwasili kwa Ronaldo kwenye hoteli timu yake ya taifa ya Portugal ilikoweka makazi ya muda kujiandaa na kombe la dunia litakaloanza siku chache zijazo nchini Brazil.

Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.45 PMKulikua na mashabiki wengi waliokua wakimsubiria wakiwemo kina mama, baba na watoto ambao wengine walijaribu hata kumgusa, wengine kumsemesha na wengine kumpiga picha.

Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.37 PM

Screen Shot 2014-05-30 at 12.02.32 PM

Screen Shot 2014-05-30 at 12.46.22 PM

Yaani huyu mtoto hakuamini kamshika Ronaldo…. hahahha hii picha ya huyu mtoto nimeipenda.

Unaweza kutazama video hapa chini ya jinsi ilivyokuwa… pia kumbuka kujiunga na mimi ili niwe nakutumia kila stori kwenye twitter facebook na instagram kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram facebook na kupata pichaz, video, stori na mengine yote ya hii dunia.

Tupia Comments