Michezo

Ulimis mechi ya Taifa Stars vs Malawi? video ya goli la Tanzania ipo hapa

on

Screen Shot 2014-05-31 at 2.19.14 AMNi mechi ambayo ilichezwa May 27 2014 ikiwa ni mechi ya kirafiki ambapo Tanzania kwa sasa inashika namba 122 duniani kwenye list ya viwango vya FIFA na Afrika ni ya 37 ambapo namba bora kuliko zote Tanzania iliyowahi kushika kwenye historia ya viwango vya FIFA ni 65 mwaka 1965.

https://www.youtube.com/watch?v=WhZsiRmJOgc

Tupia Comments