Michezo

Magoli matatu ya England vs Peru May 30 2014 umeyaona? video iko hapa

on

Screen Shot 2014-05-31 at 3.31.11 AMKuna uwezekano hii mechi ikawa imekupita kwa sababu ulikua kwenye mishemishe za hii dunia lakini kwa sababu kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, nimeipata na kukuwekea hapa mtu wangu.

Magoli yalifungwa na Sturridge 31′ Cahill 65′ na Jagielka 70′ ambapo unaweza kutazama magoli yao hapa chini kwenye hii video

https://www.youtube.com/watch?v=dnUtmoq7V8Y

Ukiwa karibu na mimi siku zote kwenye mitandao ya kijamii nitakua nakutumia link huko ili upate urahisi wa kuingia hapa lakini pia vilevile utakua unazipata stori zote ambazo mara nyingi huwa hazifiki hapa millardayo.com jiunge na mimi kwa kubonyeza hapa >>> Twitter Instagram facebook

 

Tupia Comments