Mix

PICHA 10: Mstaafu J.K, Mama Makinda msibani kwa Waziri Mwakyembe

on

Watu mbalimbali wameendelea kuwasili nyumbani kwa Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Dr.  Harrison Mwakyembe kutoa pole kufuatia kifo cha mke wa Dr. Mwakyembe, Linah George  aliyefariki akiwa Aga Khan Hospital Dar es salaam.

Miongoni mwa waliofika kutoa pole ni pamoja na Rais mstaafu wa awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete.

“Mke wangu yupo ICU lakini nimekuja kwa Saida Karoli” – Waziri Mwakyembe

Soma na hizi