Mix

VIDEO: Waziri Angela Kairuki alivyofanya usafi Hospitali Muhimbili

on

March 8 kila mwaka ni siku ya Wanawake Duniani, Waziri wa Utumishi Angela Kairuki leo ameamua kuadhimisha siku hiyo kwa kufanya usafi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kutoa msaada wa vitanda vyenye thamani ya shilingi milioni tano kwaajili ya wodi ya wazazi.

Waziri Kairuki amekutana na Umoja wa Wanawake UWT Mkoa wa Dar es salaam ambao nao wametoa misaada mbalimbali yenye thamani ya shilingi milioni tatu kwaajili ya wanawake na watoto wanaopata huduma Hospitalini hapo huku akihaidi kushughulikia kero zilizopo.

VIDEO: Mwigizaji Irene Uwoya alivyoguswa na kikundi cha wa kinaMama Ubungo DSM 

Soma na hizi

Tupia Comments